MTAA WA TWIGA NA JANGWANI WAKUBWA NA WINGU ZITO
![]() |
beki wa simba henock Inonga akishangilia baada ya kufunga bao la ungozi kwa kwa simba katika mchezo wa derby ulipigwa wikiendi iliyo pita |
magoli ya simba yamefungwa na Enock Inonga bacca na Kibu Denis katika dimba la Benjamin wiliamu mkapa.
Akizungumzia mmoja wa mashabiki wa yanga Bi Nancy Omary amesema kuwa
"kuanzishwa kwa sure boy namba kumi ndio sababu ya kupoteza mchezo huo".
Vile vile miongoni mwa mashabiki wa yanga Bwana Othumani Shayo amesema kwamba"
Simba hawajashinda mda mrefu hii ndio imesababisha sisi tupoteze mechi ya leo".
Pia Afisa habari wa timu ya yanga Bwana Ally Kamwe amesema kuwa"kama tungewafunga tena baadhi ya viongozi wa simba wangefukuzwa na kuleta taharuki ndani ya timu yao".
Comments
Post a Comment