SIMBA SAFARINI KUWAVAA WAYDAD

Kibu denis akiwa uwanja wakimataifa wa ndege wa julius nyerere tayari kwa safari ya morocco Timu ya wekundu wa msimbazi Simba Sport Clubu imekwea pipa hii leo kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya kuwavaa waydad casablanca siku ya 28/04/2023 katika jiji la Casablanca. kocha msaidi wa simba Juma Mgunda akishuka kwenye basi tayari kwa safari ya morocco Mmoja wa mashabiki wa Simba Bwana Faruku Mlaponi amesema kwamba "Sisi ni bora kuliko waydad na tunaenda kuwatoa wakiwa huko juko kwao Morocco". Akizungumza na waandishi wa habari Afisa habari wa Wekundu hao wa msimbazi simba Bwana Ahmed Ally amesema kuwa"kusafiri mapema kutawasaidia wachezaji wapate muda wa kupumzika ili waweze kuivaa waydad wakiwa timamu kimwili na kiakili". Vilevile Mwekezaji wa clabu ya simba Mh,Muhammed Dewji amesema kuwa "Lengo letu ni kueatoa w...